Ujenzi wa Jengo la Utawala Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Ujenzi wa Jengo hili Umefikia zaidi ya Asilimia 75 na mpaka sasa Vyumba 68 Vimekamilika na Vinatumika. Ukamilikaji wa Jengo hilo Utagharimu Tshs Bilioni 4.9 na litakuwa na Vyumba 97.
Mradi wa Ujenzi wa Stendi Wilaya ya Busega ambayo inajengwa Makao Makuu ya Wilaya, Nyashimo. Mpaka sasa Ujenzi wa Stendi hiyo Umegharimu Zaidi ya Tshs. Milioni 47, tayari Stendi hiyo Imeanza Kutumika.
Mradi wa Ujenzi wa Maabara Shule ya Sekondari Antony Mtaka. Ujenzi wa Maabara hiyo umekamilika na Umegharaimu zaidi ya Tshs. Milioni 58.
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa