Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa 95 katika shule 20 za Serikali na shule Shikizi 1 kwa gharama ya TZS 1,900,000,000/ Madarasa yamekamilika na yameanza kutumika.
Mradi wa Ujenzi wa Maabara Shule ya Sekondari Antony Mtaka. Ujenzi wa Maabara hiyo umekamilika na Umegharaimu zaidi ya Tshs. Milioni 58.
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa