Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi saba (07) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo kama ilivyooanishwa katika tangazo la kazi:-
Kufungua Tangazo la Kazi Bofya TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA.pdf
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Busega
Sanduku la Posta: 157 BUSEGA
Simu ya Mezani: +255 282 981 193
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@busegadc.go.tz
Haki Miliki @2019. Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Haki zote zimehifadhiwa